Availability: In Stock

Storymoja Grade 7 Story Book – Wimbo wa Ujasiri

SKU: BBKSHP12658

KSh 504.30 KSh 479.09

GRADE 7,9 STORY BOOK BY STORYMOJA

Category: Tags: , , Brand:

Description

Kip Kibet ni mwanafunzi mwenye haya katika shule moja ya upili jijini Nairobi. Wakati wa Tamasha za Muziki katika tarafa ya Nairobi, anagongana na Brenda Njoroge kiajali. Tangu kisa hicho Kip anashindwa kumsahau Brenda. Kip anajiunga katika kwaya ya shule akikusudia kutangamana na Brenda. Mwalimu wake wa muziki anatambua kipawa chake cha kuimba. Anamfanyisha mazoezi ya kina hadi Kip anaibuka kuwa mwimbaji stadi. Hatimaye, Kip anateuliwa kushiriki katika kitengo cha mwimbaji mmoja, wakati wa tamasha za muziki kwenye tarafa. Hata hivyo, anapofika kwenye jukwaa, anasahau wimbo wake. Brenda anamtia moyo akimhimiza kuonyesha ubingwa wake. Je, Kip atafaulu?

Additional information

Availability Status

Available for Order

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Storymoja Grade 7 Story Book – Wimbo wa Ujasiri”

Your email address will not be published. Required fields are marked *