Description
Ni kitabu kinachofundisha umuhimu wa kutii. Mama Senene anaenda kuwatafutia watoto wake chakula. Je, watoto wake watamsubiri kurudi jioni kama anavyowaagiza? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu.
KSh 472.58
GRADE 3,4 STORY BOOK BY STORYMOJA
Ni kitabu kinachofundisha umuhimu wa kutii. Mama Senene anaenda kuwatafutia watoto wake chakula. Je, watoto wake watamsubiri kurudi jioni kama anavyowaagiza? Soma hadithi hii ya kusisimua upate majibu.
| Availability Status | Available for Order |
|---|
Reviews
There are no reviews yet.