Description
Ni kitabu kinachofundisha watoto adabu na adabu nzuri kusuka jamii. Kiumbe cha ajabu kinafika duniani. Kinagutuka kinapoona watu wakiheshimiana na kuishi kwa amani. Kinashikwa na wivu na kupanga njama ya kuharibu hali. Je, kinafanikiwa? Soma hadithi ufumbue fumbo.





Reviews
There are no reviews yet.