Availability: In Stock

Storymoja Grade 5 Story Book – Kijiji cha Ukame

SKU: 978- 9966 -066 -65- 7

KSh 504.25

GRADE 5 STORY BOOK BY STORYMOJA

Description

Wakazi wa Kijiji cha Ukame wanafyeka misitu na kujigawia mashamba. Muda si muda mvua inakosekana na wanakumbwa na athari za kiangazi. Hawana maji wala chakula. Mimea inanyaukia mashambani huku mifugo wakifa kwa kukosa lishe na maji. Je, watafuata ushauri wa Binti Kitabu kuhusu uhifadhi wa mazingira?

Additional information

Availability Status

Available for Order

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Storymoja Grade 5 Story Book – Kijiji cha Ukame”

Your email address will not be published. Required fields are marked *